Taarifa kwa waombaji wa mikopo waliodahiliwa katika programu maalum ya Stashahada ya ualimu wa Sayansi na Hisabati

 

 

TAARIFA KWA WAOMBAJI WA MIKOPO WALIODAHILIWA KATIKA PROGRAMU MAALUM YA STASHADA YA UALIMU WA SAYANSI NA HISABATI 

Serikali kupitia Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu, itatoa mikopo kwa wanafunzi watakaodahiliwa katika programu maalum ya stashahada ya Ualimu wa Sayansi na Hisabati kuanzia mwaka wa masomo 2014/2015.  Ili kutekeleza jukumu hilo, Bodi ya mikopo ilitoa mwongozo kwa waombaji hao na kuwataka kuomba mikopo hiyo kwa njia ya mtandao (http://olas.heslb.go.tz). 

Hivyo, Bodi inapenda kuwakumbusha na kuwasisitiza waombaji ambao bado hawajafanya maombi ya mikopo kwa njia ya mtandao kufanya hivyo ndani ya wiki mbili kuanzia tarehe 29 Septemba, 2014.  Hakutakuwa na muda wa nyongeza baada ya muda huo kwisha.

 

Imetolewa na: 

Mkurugenzi Mtendaji

 

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu

2015 © The University of Dodoma    
Dizi izle Full Dizi
escort ankara ankara escort full film haber oku
ankara escort ankara escort ankara eskort
samandag rehberim
veri kurtarma