Utoaji wa Vitambulisho vya Taifa awamu ya Kwanza

Uongozi wa Chuo unapenda kuwajulisha kwamba Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) itafanya zoezi la kugawa vitambulisho vya taifa. Zoezi hilo litafanyika kwa siku tano kuanzia Ijumaa tarehe 26 juni, 2015 saa mbili asubuhi.

Uongozi unapenda kutoa angalizo kua orodha hiyo haikupangwa kutokana na mfanyakazi alipo, basi huenda ukatokea usumbufu kwa wafanyakazi kupangiwa vituo vya mbali. Kubadilisha vituo kwa sasa kutasababisha zoezi zima la utoaji wa vitambulisho kuchelewa.

Orodha ya majina kwa ajili ya vitambulisho vya Taifa awamu ya kwanza imeambatanishwa hapa chini.

Tafadhali fika katika kituo ambacho jinalako limeorodheshwa (kama ifuatavyo):

1.       Main Administration building      - PRO Conference room

2.       Education                                            - Jengo la Utawala la COED

3.       Informatics                                         - Jengo la Utawala la CIVE

4.       Humanities                                         - Jengo la Utawala la School of Humanities

Haitaruhusiwa kuchukua kitambulisho kwa niaba ya mtu mwingine. Ifahamike kwamba alama za vidole (finger prints) zitachukuliwa kabla ya kitambulisho kukabidhiwa kwa mhusika.

Orodha ya Majina kwa ajili ya Vitambulisho awamu ya Kwanza

2015 © The University of Dodoma    
Dizi izle Full Dizi
escort ankara ankara escort full film haber oku
ankara escort ankara escort ankara eskort
samandag rehberim
veri kurtarma