CNMS DAY

CHUO CHA SAYANSI ASILIA NA HISABATI
OFISI YA MKUU WA CHUO
P.O. Box 338, DODOMA, TANZANIA
Simu : +255-26 2310009   Barua Pepe: +255-026-2310005
Tovuti: www.udom.ac.tz

KWA:   WAFANYAKAZI NA WANAFUNZI WOTE CHUO KIKUU DODOMA

YAH:   Siku ya Chuo Cha Sayansi Asilia na Hisabati (CNMS DAY)

TAREHE:   10 JULAI, 2018

Mkuu wa Chuo Cha Sayansi Asilia na Hisabati, anawatangazia Wafanyakazi na Wanafunzi wote Chuo kikuu Dodoma, kwamba Sherehe ya “CNMS DAY” itafanyika tarehe 14.07.2018 kuanzia saa 2:00 asubuhi katika Jengo la Chuo Cha Sayansi Asilia na Hisabati (CNMS).

Siku hiyo itaambatana na maonyesho ya miradi (Projects) ya wanafunzi na walimu pamoja na michezo mbali mbali. Washindi watapata zawadi NONO. Pia wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya chuo wamealikwa.

Wote mnakaribishwa katika siku hiyo bila kukosa.

Imetolewa na

Mkuu wa Chuo – Chuo cha Sayansi Asilia na Hisabati