Kongamano la Mafunzo ya Lugha ya Alama kwa Wanafunzi wanaosoma Lugha ya Alama Chuo Kikuu cha Dodoma


  • 1 year
  • The University of Dodoma

Tarehe 24/3/2023 Kurugenzi ya Huduma za Wanafunzi Chuo kikuu cha Dodoma imefanya Kongamano la Elimu/ Mafunzo ya Lugha ya Alama kwa wanafunzi wanaosoma Lugha ya Alama Chuo Kikuu cha Dodoma, Lengo ikiwa ni kuendeleza tafiti juu ya Lugha ya Alama Vyuoni

Mgeni rasmi katika Kongamano hili alikuwa ni Afisa Ustawi wa Jamii Bi. Lina Joctani ambaye aliwakilisha Ofisi ya Waziri Mkuu
Wageni mbalimbali Wameshiriki Kongamano hili wakiwepo wawakilishi toka CHAVITA Taifa, Wizara ya Elimu, Ofisi ya Rais Tamisemi na Wizara ya Utamaduni na Michezo

Comments
Send a Comment