Kueleka Maadhimisho ya Siku ya Sheria ya Shule Kuu ya Sheria Chuo Kikuu cha Dodoma


  • 1 year
  • The University of Dodoma

Tarehe 21/3/2022 Amidi wa Shule kuu ya Sheria Chuo Kikuu cha Dodoma Dkt. Ines Kajiru ameongoza ziara ya utoaji wa Elimu ya Sheria kwa wanafunzi wa Sekondari Ntyuka na Dodoma Makulu

Lengo la ziara hii ni kwenda sambamba na Kampeni ya Kitaifa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, yaani Kampeni ya Kitaifa ya Mama Samia ya Msaada wa Kisheria, ambayo ina lengo la kuhakikisha Watanzania wote wanafikiwa na huduma za msaada wa Kisheria katika maeneo na mazingira yao

Comments
Send a Comment