BONANZA LA MICHEZO CoED


  • 1 year
  • College of Education

Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma, Utafiti na Ushauri Elekezi Prof. Razack Lokina tarehe 26/4/2023 alikuwa ni mgeni rasmi kwenye Bonanza la Michezo lililojumuisha watumishi Ndaki ya Elimu na Wanafunzi ikiwa na lengo la kuimarisha Uhusiano kati ya Watumishi na Wanafunzi na Kuhamasisha Wanafanyakazi kupenda Michezo

Michezo mbalimbali imefanyika katika Bonanza hili kama mpira wa Miguu, Mpira wa pete, Mchezo wa Bao, Draft, Kukimbiza kuku pamoja na kulenga shabaha

Michezo ni Afya

Comments
Send a Comment