UDOM KUSHIRIKI KAMPENI YA HUDUMA YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA


  • 1 year
  • Office of The Vice Chancellor

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) amekipongeza Chuo Kikuu cha Dodoma kwa kuwa mwenyeji wa Kampeni ya Huduma ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia na kushiriki katika kutoa huduma Kampeni ya Huduma ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia mkoani Dodoma.

Comments
Send a Comment