UDOM YASHIRIKI SHEREHE ZA MEI MOSI DODOMA


  • 1 year
  • Directorate of Administration and Human Resource Management

Menejimenti na Wafanyakazi wa Chuo Kikuu cha Dodoma wameshiriki katika Sherehe za Mei Mosi zilizofanyika katika Uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma. Sherehe hizo ziliambatana na kuwapongeza wafanyakazi bora kutoka vitengo mbalimbali vya Chuo Kikuu cha Dodoma

Comments
Send a Comment