BARAZA LA CHUO KIKUU CHA DODOMA LAZINDULIWA


  • 1 year
  • Office of The Vice Chancellor

Kikao cha uzinduzi wa Baraza la Chuo Kikuu cha Dodoma kimefanyika Leo tarehe 25 Aprili, 2023. Katika kikao hicho, wajumbe walimchagua Bi. Suzan P. Mlawi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Baraza. Aidha, wajumbe wa Kamati ya Menejimenti ya Chuo walitambulishwa kwa Baraza.

Comments
Send a Comment