WIKI YA UTAFITI NA UBUNIFU SIKU YA PILI CHSS & IDS


  • 1 year
  • Directorate of Research, Publications and Consultancy

Wiki ya Utafiti na Ubunifu inaendelea Chuo Kikuu cha Dodoma na leo tarehe 3/5/2023 imefanyika katika Ndaki ya Insia na Sayansi za Jamii pamoja na Taassisi ya Taaluma za Maendeleo

Tafiti na bunifu mbalimbali zimeoneshwa toka kwa wafanyakazi pamoja na wanafunzi ili kuendelea kuhamasisha wanataaluma kufanya tafiti na bunifu mbalimbali zenye kutatua matatizo yaliyopo kwenye jamii.

Wiki hii ya Ubunifu inaendelea mpaka tarehe 6/5/2023 na Kesho ni Ndaki ya Sayansi za Kompyuta na Elimu Angavu pamoja na Ndaki ya Sayansi za Ardhi na Uhandisi

"Tafiti na Ubunifu kwa Uchumi Endelevu "

Comments
Send a Comment