UDOM YASHIRIKI KONGAMANO LA KUMBUKIZI YA MIAKA 101 YA BABA WA TAIFA


  • 1 year
  • Office of The Vice Chancellor

Kongamano la kumbukizi ya miaka 101 ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere limefanyika katika Ukumbi wa Chimwaga, Chuo Kikuu cha Dodoma tarehe 06 Mei, 2023.

Mgeni Rasmi alikuwa ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb). Kongamano hilo lilikwenda sambamba na uzinduzi wa Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu J.K Nyerere.

Viongozi mbalimbali pamoja na wanafunzi wa shule za msingi, sekondari na vyuo waliweza kuhudhuria Kongamano hilo lililolenga kumuenzi Baba wa Taifa kwa vitendo.

Comments
Send a Comment