KONGAMANO LA WANAWAKE NDAKI YA ELIMU


  • 1 year
  • Directorate of Students Services

Siku ya leo tarehe 7/5/2023 limefanyika kongamano la wanawake Ndaki ya Elimu Chuo Kikuu cha Dodoma lilikwenda Kwa jina la "UDOM CoED Ladies Talk"

Mgeni rasmi alikuwa Dkt. Thea Ntara Mbunge viti maalumu na mwakilishi vyuo vikuu Tanzania; Wahadhiri na Walezi wa Kitengo Cha Jinsia na Mahitaji Maalumu

Kongamano hili lililenga kutoa Elimu Kwa Wanafunzi wa kike kuhusu Uongozi, Elimu ya Jinsia, Mahusiano, Ujasiriamali na Afya Kwa Vijana

Comments
Send a Comment