UDOM YASHIRIKI CAPITAL CITY MARATHON


  • 10 months
  • Office of The Vice Chancellor

Menejimenti, Wafanyakazi na Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma wameshiriki Capital City Marathon ambayo imefanyika Chuo Kikuu cha Dodoma ikiwa ni msimu wake wa nne, mbio hizi zilihusisha kukimbia kilometa 5, 10 na 21.

Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Lughano Kusiluka amekimbia kilometa 5 huku Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Mipango, Fedha na Utawala Prof. Wineaster Anderson amekimbia kilometa 10.
 

Comments
Send a Comment