UDOM YASHIRIKI KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI


  • 11 months
  • Geography and Environmental Studies

Leo 5 Juni, 2023 ni kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani ambayo yamefanyika Mkoani Dodoma katika Soko la Machinga Complex na Mgeni Rasmi alikuwa ni Makamu wa Rais Dkt. Isdory Mpango

Chuo kikuu cha Dodoma kupitia Idara ya Jiografia na Mazingira Ndaki ya Insia na Sayansi ya Jamii wameshiriki maadhimisho hayo kwa kusafisha mazingira mbalimbali yanayozunguka eneo la Soko la Machinga Complex Dodoma

Comments
Send a Comment