HUDUMA ZA USHAURI NA USAJILI WA KUJIUNGA NA UDOM- MLIMANI CITY

OFISI YA NAIBU MAKAMU MKUU WA CHUO
TAALUMA, UTAFITI NA USHAURI
 S.L.P 259
 DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 23 23002          Nukushi: +255 23 23000    Barua pepe: dvcarc@udom.ac.tz

HUDUMA ZA USHAURI NA USAJILI WA KUJIUNGA NA
CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM), MLIMANI CITY

CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM) KINAUTANGAZIA UMMA KUWA, HUDUMA ZA USHAURI NA USAJILI  WA KUJIUNGA NA PROGRAMU ZA KITAALUMA KATIKA NGAZI MBALIMBALI KWA MWAKA WA MASOMO 2018/19 ZINAENDELEA KUTOLEWA DAR ES SALAAM – MLIMANI CITY KARIBU NA DANUBE HOME; GETI LA UPANDE WA KUSHOTO.

GHARAMA ZA USAJILI NI SHILINGI ELFU KUMI TU (10,000), AMBAZO ZINALIPWA KUPITIA CRDB BANK, AIRTEL MONEY, TIGO PESA AU M-PESA.

MAOMBI PIA YANAFANYIKA KWENYE TOVUTI YA UDOM: www.udom.ac.tz

LINK: application.udom.ac.tz.