MRADI WA HEET WATOA MAFUNZO YA KUKABILIANA NA VIHATARISHI


  • 2 months
  • The University of Dodoma

Taasisi za Elimu ya juu nchini zinazotekeleza mradi wa Mageuzi ya kiuchumi katika Elimu ya Juu (HEET) zimetakiwa kutimiza malengo ya mradi na kuhakikisha mradi huo unatekeleza kwa wakati uliopangwa.

Rai hiyo imetolewa tarehe 06/12/2023 mkoani Arusha na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof James Mdoe alipokuwa akizungumza na washiriki wa kikao kazi cha mafunzo ya kukabiliana na viatarishi katika utekelezaji wa mradi huo

Chuo kikuu cha Dodoma ni moja ya Taasisi zinazotekeleza mradi wa Mageuzi ya Kiuchumi katika Elimu ya Juu nchini.

Comments
Send a Comment